Uchaguzi serikali za mitaa: MSAADA / USHAURI TAFADHALI

mwanawao

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
3,222
Reaction score
5,890
Wadau siku si nyingi uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika. Na leo mchakato wa kujiandikisha umeanza.

Sasa kama miaka miwili iliyopita niliibiwa vitu vyangu. Pamoja na vilivyoibiwa ni kitambulisho changu cha KURA. Naomba msaada au ushauri nitafanyaje niweze kupiga kura? Kuikosa haki yangu ya kuchagua viongozi ni jambo litakoloniuma sana. Nina imani wapo wahanga wengi wenye tatizo kama langu kwa hiyo ushauri wako utasaidia wengi.

AHSANTENI.
 
kuna daftsri maalum la kujiandikisha na siyo ile kadi ya mpiga kura itakayotumika katika uchaguzi huu
 
kuna daftsri maalum la kujiandikisha na siyo ile kadi ya mpiga kura itakayotumika katika uchaguzi huu

Ahsante Mkuu. Kwa hiyo siku ya upigaji kura hakutahitajika kitambulisho chochote sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…