assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.
Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema
mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA
Umepewa sh ngapi?
Wewe leo hupati b7 maana kwa sasa tunazingatia kiwango cha propaganda ndiyo tutoe. Je,hujui kuna miongozo na katiba ndicho kinachokiongoza chama. Au na wewe ni yule msajili au wapambe wake wakina Kitila,Zitto, Mwigamba walioandaa na kupitisha katiba ya chama lakini kwa sasa wanaikana? . Rafiki yenu Kitila ndiyo mhusika mkuu kwenye katiba ya 2006 na viongozi wengine ndani ya chama lakini kwa sasa wanasema aaaaaaaaah!!! Siyo sisi, unafiki ni mbaya sana Duniani maana unaweza kukufanya ukane hata mawazo yako uliyoyatoa dakika 5 nyuma.Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.
Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema
mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA
Mbona umeandika kimahaba sana kama vile kuna mtu anakutekenya!
Wewe leo hupati b7 maana kwa sasa tunazingatia kiwango cha propaganda ndiyo tutoe. Je,hujui kuna miongozo na katiba ndicho kinachokiongoza chama. Au na wewe ni yule msajili au wapambe wake wakina Kitila,Zitto, Mwigamba walioandaa na kupitisha katiba ya chama lakini kwa sasa wanaikana? . Rafiki yenu Kitila ndiyo mhusika mkuu kwenye katiba ya 2006 na viongozi wengine ndani ya chama lakini kwa sasa wanasema aaaaaaaaah!!! Siyo sisi, unafiki ni mbaya sana Duniani maana unaweza kukufanya ukane hata mawazo yako uliyoyatoa dakika 5 nyuma.