Uchaguzi mkuu, Magufuli aongoza

Ni majimbo 27 tu yaliyosemwa so tulieni , wasome kama yalivyopatikana katika vituo vyote. Mbona wanachagua ya kusoma?
 
Magufuli mwanzo mwisho.

Tunapiga chini Lowasa
 
Magufuli mwanzo mwisho.

Tunapiga chini Lowasa

Watusomee majimbo yaArusha,nyamagana,ilemela,bukoba mjini,moshi,hai,siha,mbeya mjini,tunduma nk pia wasichague majibu kimkakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…