Uchaguzi 2020

ungeuliza nani ana imani na utawala huu sasa ukiuliza wangapi si hadi tufanye mathematical
 
Bado mnawaza uchaguzi..

tena bila tume huru.!!

Poleni sana...naenda kumwagilia vitalu vyangu,msimu wa Kilimo unajongea ati
 
Ndo kitu nachokisubri Na Mungu anipe uzima najua ntapata increment kabla yake hilo tu ashinde asishinde shauri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…