Lugha moja tuu,'tumechoka' tunahitaji mabadiliko.
Hatuna sababu ya kuwa masikini.
Hatuna sababu kukalia matofali ya kuchoma shuleni.
Hatuna sababu kukosa matibabu na vifaa tiba mahospitalini.
Hatuna sababu kufa kwa njaa ilihali tuna ardhi nzuri yenye rutuba.tunamito inatiririsha maji kusikojulikana.
Hakuna mazao ya biashara yanayomnufaisha mkulima mpaka sasa anzia kahawa,pamba,katani,korosho,buni,
Tumechoka. Kuishi kwenye nyumba full suti. Juu udongo chini udongo kama fuko.