K KAM Member Joined Jul 5, 2009 Posts 6 Reaction score 2 Oct 30, 2010 #1 Ninawatakia wa-Tanzania wote, uchaguzi wa baraka na amani. Na iwe kwetu kile ambacho ni chema Mungu amekusudia kwa Tanzania kitokee. Katumie haki yako nenda kapige Kura. KAM
Ninawatakia wa-Tanzania wote, uchaguzi wa baraka na amani. Na iwe kwetu kile ambacho ni chema Mungu amekusudia kwa Tanzania kitokee. Katumie haki yako nenda kapige Kura. KAM
M mwalimumpole Member Joined Oct 17, 2010 Posts 48 Reaction score 0 Oct 31, 2010 #2 Iringa mjini hali ni tete kwa sisiem
M mwalimumpole Member Joined Oct 17, 2010 Posts 48 Reaction score 0 Oct 31, 2010 #3 Wanajamii tumeni matokeo kwenye mtandao wa jf tupunguze presha