Uchafu umekithiri soko la Kigamboni

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,714
Tafadhali wahusika wa Soko la Kigamboni hebu chukueni hatua za makusudi kulikarabati Soko hilo kabla Magonjwa ya mlipuko hayajatokea.Soko halina mifereji ya kutoa maji,soko limejaa tope,Bidhaa zinapangwa chini,Kizimba cha taka kimejaa hakika ni hatari kwa afya ya wateja na wafanyabiashara.
 
Wizara ya afya na Manispaa mnaitwa huku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Soko lipi au hilo jirani na jumbaa kuu?

Ova
 
Soko lipi ? Unaamanisha la samaki au

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…