Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.
Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.
" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."
Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.
Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television
-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi madarakani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
Hizo akili zako za makamasi za kukaririshwa utabakia hivyo hivyoNEC haina pesa za kuandaa uchaguzi mdogo. Pia ccm nao hawana pesa za kufanyia kampeni. Pesa zote zatumika kununua wabunge na madiwani and unfortunately matajili wamegoma kuikopesha ccm.
Kwa hiyo Nec na ccm ni makamasi???Hizo akili zako za makamasi za kukaririshwa utabakia hivyo hivyo
Na matajiri sasa wanakabiliana na unyang'anyi wa kidola! This a very sorry state!NEC haina pesa za kuandaa uchaguzi mdogo. Pia ccm nao hawana pesa za kufanyia kampeni. Pesa zote zatumika kununua wabunge na madiwani and unfortunately matajili wamegoma kuikopesha ccm.
Hapo chini nahisi ulikusudia mahakamani badala ya madarakani.Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.
Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.
" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."
Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.
Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television
-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi madarakani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
Na matajiri sasa wanakabiliana na unyang'anyi wa kidola! This a very sorry state!
Lakini sijui hii sheria kuwa mtu akishatangazwa kupita bila kupingwa NEC haiwezi kuingilia imeanza lini. Nakumbuka 2010 Masha alitangazwa kupita bila kupingwa lakini Wenje akakata rufaa NEC na uamuzi wa kuwa Masha amepita bila kupingwa ukatenguliwa na baadae Wenje akabeba jimbo. Wakati huo Wenje alituhumiwa kuwa si raia wa TZ. Sasa hili la kuwa NEC haina meno juu ya suala hili inatoka wapi?
Wapeleke kesi madarakani? MweeeeeehTume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.
Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.
" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."
Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.
Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television
-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi madarakani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
Hiyo kesi sasa itaendeshwa mpaka mwezi wa 7 /2020 .muda wa ubunge wa mteuliwa umeisha .utawala wenye hila mmbaya sanaTume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.
Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.
" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."
Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.
Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television
-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi mahakamani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)