Ubunge Jimbo la Serengeti

Joined
Oct 11, 2015
Posts
14
Reaction score
1
Jamani nakiomba sana chama changu cha Mapinduzi, haswa ngazi ya Mkoa wa Mara, watuongezee nguvu jimbo la Serengeti maana hawa Ukawa wanatusumbua sumbua ila naimani tutashinda, haswa kama tutapata support ya kutosha kutoka makao makuu naimani mpo humu na ujumbe utafika.

Serengeti ni ya CCM na itaendelea kua ya CCM
 
Kaka itabidi mujitahidi hivyohivyo , hata huku Bunda Hali Mbaya Sana, kale kabinti kanang'ang'ania Jimbo, Na haya majimbo mengine ya mkoa wa mara, yamekuwa magumu, sasa Mujitahidi kukomaa ikiwezekana hata Nyumba kwa Nyumba, au kitanda kwa kitanda.
 
Kaka huwezi pata msaada make hata magufuli kachanganyikiwampaka wanaamsha chopa nne acha jimbo liende ukawa.
 
Sasa ndo utaisoma namba, chadema tumeshinda kwa nguvu, pole sana
 
Pole mkuu Kilio cha mti, nadhani wamekuwa wengi hapo Serengeti, na hivo wamesaidia wanamabadiliko kwenda mbele. Nadhani msaada uliokuwa unautaka kutoka mkoani haukuupata au haukufika kwa wakati. Pole saana wakati mwingine usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho.
 
Nilikuwa hapo jana, CHADEMA na CCM woote wanashangilia then wanaacha hata hapaeleweki
 
pole sana Kilio Cha Miti naona kilio kitazidi sana chini ya miti.wanywa viroba wamefanya yao..See you 2020..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…