emmanuel mwiyulege Member Joined Aug 4, 2017 Posts 10 Reaction score 2 Aug 10, 2017 #1 Tatizo watanzania tulikuwa na mawazo mgando ya kusubiri serikali kufanya mambo hata kama yako ndani ya uwezo wetu,mfumo wa rais magufuli ni mfumo bora sana umefungua akili za watanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watanzania tulikuwa na mawazo mgando ya kusubiri serikali kufanya mambo hata kama yako ndani ya uwezo wetu,mfumo wa rais magufuli ni mfumo bora sana umefungua akili za watanzania Sent using Jamii Forums mobile app