Ubora wa elimu ya Tanzania

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Habarini nimekuja na swali hapa ningependa kujua tanzania ni nchi ya ngapi kwa ubora wa elimu inayo tolewa ukilinganisha na nchi zingne coz mm naona kama elimu ya tanzania ni ngumu sanaaaaaaa tena sanaaa.

Je ugumu huu wa elimu ni ukosefu wa misingi tokea chini au inakuwaje naomba kujua
 

lugha inayotumika ndiyo inakupiga chenga...elimu ya tz si ngumu isipokuwa wengi hamuielewi lugha inayotumika kufundishia mnaishia kukariri tu.
 
lugha inayotumika ndiyo inakupiga chenga...elimu ya tz si ngumu isipokuwa wengi hamuielewi lugha inayotumika kufundishia mnaishia kukariri tu.

Mmmh si dhani kama,lugha ndo sababu ni tanzania tuuu
 
Tanzania ni nch ya 3 kat ya nch 5 kwa elimu afrka masharik na kati.

something blind bind in ur mind make it kind.!!!!
 
Si dhani kama lugha ndo tatizo mbn watu kiswahili bado wana zingua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…