Mawazo yangu
Member
- Sep 22, 2011
- 37
- 18
Nimependa hii idea ya hawa jamaa, kwenye huu wimbo wao mpya
Wanabishana kipi ni muhim ktk mapenz ni pesa au mambo ya kupet pet
Wanachonifurahisha wanatumia story zao za ukweli wanafanya wimbo unakuwa halisi sana
Kingine promo, jamaa wamejitahd sana kufanya promo tena kwa namna ya kibunifu kidogo, kuna clips zilianza kusambaa instagram na whatsapp tangu juz usiku na jana ambapp wameurelease officially na zimeendelea had leo pia zikiwashirikisha had waigizaj na wachekeshaj.
Inshort when comes to business hawa jamaa wanajua namna ya kuuza.
Sitashangaa tena kama huu wimbo ukimuingizia Ney hela nyingi sana
Niwekee link ni download nipate kuwasikia
Aya weeee..
Aya weeeeee..
Nasikia Mbuzi kala mkeka,binti kaenda kwao, lelele Mafundi wamemteka kakuachia na mwanao.
Hahaha Mpe nyonyooooo
Tatizo kitu kidogo tu mpaka tugombane...sa nahisi unakosa adabu
huna ustaarabu
na ntakupa adhabu
Aya weeee..
Aya weeeeee..
Nasikia Mbuzi kala mkeka,binti kaenda kwao, lelele Mafundi wamemteka kakuachia na mwanao.
Hahaha Mpe nyonyooooo
"sasa unakosa adabu......hauna ustaarabu.....na ntakupa adabu/adhabu...."
hiki kipande huwa nacheka sana jinsi ney anavyo mmaindi diamond!!
"sasa unakosa adabu......hauna ustaarabu.....na ntakupa adabu/adhabu...."
hiki kipande huwa nacheka sana jinsi ney anavyo mmaindi diamond!!
a a a Unanionea,
Mbona yangu unayaongea,
tatizo kitu kidogo mpaka ugombane