Benaco Member Joined May 17, 2017 Posts 57 Reaction score 128 Jul 21, 2020 #1 Habari mdau, Nahitaji mdau mwenye Uber/Bolt account ambayo iko active ili nisogeze maisha. Shukrani. Unaweza nicheki direct 0627170013
Habari mdau, Nahitaji mdau mwenye Uber/Bolt account ambayo iko active ili nisogeze maisha. Shukrani. Unaweza nicheki direct 0627170013
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,033 Jul 22, 2020 #2 Mkuu, ni salama kweli kutumia account ya mtu?
Premij canoon JF-Expert Member Joined May 27, 2018 Posts 1,275 Reaction score 2,970 Jul 22, 2020 #3 Sii salama!
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Jul 23, 2020 #4 Niutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao?
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,033 Jul 23, 2020 #5 nyumbamungu said: Niutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao? Click to expand... Unaenda ofisini kwao na passport size, leseni, kadi ya gari ikiwezena gari lenyewe uende nalo.
nyumbamungu said: Niutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao? Click to expand... Unaenda ofisini kwao na passport size, leseni, kadi ya gari ikiwezena gari lenyewe uende nalo.
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Jul 23, 2020 #6 Kwasasa kuna Taxi mtandao nyingi je unaweza kujiunga na akaunti zote kwenye simu moja.? Ngariba1 said: Unaenda ofisini kwao na passport size, leseni, kadi ya gari ikiwezena gari lenyewe uende nalo. Click to expand...
Kwasasa kuna Taxi mtandao nyingi je unaweza kujiunga na akaunti zote kwenye simu moja.? Ngariba1 said: Unaenda ofisini kwao na passport size, leseni, kadi ya gari ikiwezena gari lenyewe uende nalo. Click to expand...
miambovu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 375 Reaction score 789 Jul 30, 2020 #7 nyumbamungu said: Kwasasa kuna Taxi mtandao nyingi je unaweza kujiunga na akaunti zote kwenye simu moja.? Click to expand... Hilo linawezekana mkuu
nyumbamungu said: Kwasasa kuna Taxi mtandao nyingi je unaweza kujiunga na akaunti zote kwenye simu moja.? Click to expand... Hilo linawezekana mkuu
miambovu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 375 Reaction score 789 Jul 30, 2020 #8 nyumbamungu said: Niutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao? Click to expand... Unaenda uber unapewa barua kisha unaenda wizara ya mambo ya ndani kupiga finger print hlf unarudi uber kujisajili
nyumbamungu said: Niutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao? Click to expand... Unaenda uber unapewa barua kisha unaenda wizara ya mambo ya ndani kupiga finger print hlf unarudi uber kujisajili