Ubakaji dhidi ya wanafunzi wazidi kushamiri

Joined
Oct 25, 2013
Posts
63
Reaction score
262
Tukiwa bado tunamlalamikia Pro. Kapuya kutokukamatwa kwa tuhuma za Ubakaji na kutishia kuua, Igunga Mwalimu amembaka Mwanafunzi na kumpa mimba, kesi ilifunguliwa katika Kituo cha Polisi Igunga jalada RB IG/1430/2013 lakini Mkuu wa Kituo amemtorosha jamaa na kuambulia kitita cha Milioni 3.5 na kumruhusu jamaa asepe. Tutabakwa sana, tutatishiwa sana, wabakaji wataendelea kujisifu na Polisi wataendelea kuwanusuru. Nalia akina Mama mko wapi? Tamwa, UWT, BAWACHA, TGNP, LHRC, msiogope vitisho saidini hali ni mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…