Wandugu Masanja, Ili uwe TAIFA unahitaji vitu gani ?sentensi yako ya mwisho inasema italiangamiza taifa la Zanzibar
Kwani Zanzibar ni Taifa?
Wandugu, nilikuwa Pemba last week. The place is dead, miundo mbinu imekufa na jamaa ameingia mitini hapiti hakanyagi Pemba. Zaidi ya hapo wana sera za "tutakula dongo meaning hata kama iweje hawachagui CCM, na wale wa Unguja wanasema kumbi kwa kumbi meaning akitoka mtoto wa Karume anakuja mtoto wa ....read btn the lines.
ukiongelea mpasuko uliopo hapa zanzibar, waliowengi hasa walioko tanzania bara huzaidi kuhusu ccm na cuf au unguja na pemba. Ni kweli kuna mpasuko mkubwa sana na tofauti za waziwazi zinazoonekana kati ya wapemba na waunguja kiasi kwamba wapemba hukosa hata kuajiriwa kwa sababu tu ya upemba, hali ambayo hupelekea kwa waombaji wa ajira ambazoziko chini ya muungano kulazimika kuandika maombi maalum bara ili waweze kuajoriwa.
Sio siri hili la ccm vs cuf na unguja vs pemba lipo, lakini katika hali ya kushangaza kuna ubaguzi mwingine mkali sana na mbaya zaidi unaoendelea hapa unguja, huu ni ubaguzi wa kusini na kaskazini.
Kama kiongozi mwenya mamlaka fulani akitoka mkoa wa kaskazini nguja, basi wale wa upande mwingine wa kusini unguja, yaani makunduchi, muyuni nk. Wanaumia vibaya mno.
Ubaguzi huu ni mbaya zaidi na ambao bila kuangaliwa vizuri zaidi unaweza kuliangamiza taifa la zanzibar.
.zanzibar pemba zote zinatumia utaifa wa tanzania, kama kuna utaifa mwengine hebu tutupie kwenye katiba gani? Juzi tu tumeona vipi zfa kama wanataka uwakilishi wa fifa basi zanzibar ikubali kuwa koloni la tanzania,
yule anaeuliza ili kuwe na taifa, lazima uwe na nchi, serikali ,jeshi uthibitisho wa utaifa kama kadi ya uraia au passport, hapo utaona zanzibar hawana jeshi hawana fedha hawana uraia na mwisho hata michezo wanasema hata si koloni sijui tuiiteje.
Vipi kwani? Magu. Kibondo, Biharamulo kunafaa? si kuko kwa karne ya 17 tu na enzi za Red Indians- Acha masimango yasiyo na msingi.kweli Pemba utafikiri uko wild wild west ya 18th century...ya kwenye sinema za cowboys
hakufai
Bwana mkubwa wewe ni Bwana Ntaramuka au Nta-lamka. Naona umeamka na mpya hii. Aste aste baba!!!!.Kama kiongozi mwenya mamlaka fulani akitoka mkoa wa KASKAZINI NGUJA, basi wale wa upande mwingine wa KUSINI UNGUJA, yaani MAKUNDUCHI, MUYUNI nk. wanaumia vibaya mno.
Sual la Zanzibar ni nchi au la linakuwa gumu hasa kutokana na misamiayi yetu ya kiswahili, ila kwa kingereza ni rahisi sana na hapo utagundua kuwa zanzibar ni nchi.sentensi yako ya mwisho inasema italiangamiza taifa la Zanzibar
Kwani Zanzibar ni Taifa?