Ubabe una mwisho mbaya

Hata wapole wana mwisho mbaya pia.
Kwa kawaida utakiwi kuwa mpole sana maana Dunia hii hutaiweza lakini pia ukiwa mbabe sana kwanza wataalamu wa philosophy wanasema mtu mbabe sana anaficha udhaifu lakini pili wababe wenzio hawawezi kukuacha salama.

Unatakiwa uweje sasa?

Unatakiwa uwe pasu kwa pasu ( middle way) ie usiwe mbabe sana wala mpole sana, too much is harmful, mark my words.
JAH BLESS.
 
Jiwe linaonywa na kila MTU halisikii litageuka jiwe LA chumvi
 
cc: mwinyi " lodilofa " mkwere.... naona baada ya kuangalia maisha ya hawa wanavyoishi sasa .. umeamua kuja na statement ya kumkumbusha malaika mkuu kuwa wababe hawa dumu
Hata wadhaifu nao hawadumu daima hii inaitwa ulimwengu wa fujo ukiwa na nafasi tamba jinsi unavyoona inafaa
 
Aiseee Wewe ni WA kilimeni!?? Hao jamaa ni mabingwa WA uchawi na kuwekeana sumu kwenye denge
Huwezi kuwa na ushahidi wa hili
Ni matukio machache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…