U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 3,307 Reaction score 5,795 Jun 10, 2023 #1 Leo nimewanasa Halotel kwa kuonesha ubabaishaji katika matumizi ya MB. Sina uhakika kama ni wizi au ni system yao ya kuangalia salio ilipata shida. Ipo hivi: Saa 04:03 PM salio lilikuwa MB 60. Saa 05:19 PM salio lilikuwa MB 17. Saa 9:33 PM salio likawa MB 33. Je, ni system ilipata shida au huwa ni wizi wanaufanya hii mitandao ya simu kwa kuwaibia wateja MB? Naambatanisha ushahidi wa picha za sms za salio. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Leo nimewanasa Halotel kwa kuonesha ubabaishaji katika matumizi ya MB. Sina uhakika kama ni wizi au ni system yao ya kuangalia salio ilipata shida. Ipo hivi: Saa 04:03 PM salio lilikuwa MB 60. Saa 05:19 PM salio lilikuwa MB 17. Saa 9:33 PM salio likawa MB 33. Je, ni system ilipata shida au huwa ni wizi wanaufanya hii mitandao ya simu kwa kuwaibia wateja MB? Naambatanisha ushahidi wa picha za sms za salio. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,095 Reaction score 39,719 Jun 10, 2023 #2 MATAPELI HAO KAMA BANDARI TU
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,792 Reaction score 4,881 Jun 11, 2023 #3 Carasco Putin said: MATAPELI HAO KAMA BANDARI TU Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carasco Putin said: MATAPELI HAO KAMA BANDARI TU Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,576 Reaction score 103,377 Jun 11, 2023 #4 Dawa ni kutafuta namna ya kuingilia ie kudukua mifumo yao na kulipiza kisasi
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,291 Reaction score 10,191 Jun 20, 2023 #5 Bora wewe, mimi laini yangu nikiiweka kwenye kibatani inaonesha ina mb nikiirudisha kwenye smart phone ina onesha salio ni 0 mb.
Bora wewe, mimi laini yangu nikiiweka kwenye kibatani inaonesha ina mb nikiirudisha kwenye smart phone ina onesha salio ni 0 mb.