Haya mambo mazito, acha tutazame tuone mwisho wakeU.S. and allied intelligence agencies are stepping up efforts to detect any Russian military moves or communications that might signal that Vladimir Putin has ordered the use of nuclear weapons in Ukraine, according to five current and former U.S. officials.
“We’re watching it more closely,”
Recent efforts include tasking additional U.S. and allied intelligence assets — in the air, space and cyberspace — and relying more heavily on commercial Earth-imaging satellites to analyze Russian units in the field that might be in position to get the nuclear order, the official said.
Kwendana na taarifa za kuaminika kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya serikali ya Marekani, Marekani imeongeza nguvu katika kukusanya taarifa za kijasusi ili kuweza kugundua nyendo za majeshi ya Urusi kuhusiana na uwezekano wa matumizi ya mabomu ya kinyuklia nchini Ukraine, hii ni pamoja na uwezekano wa utolewaji wa amri hiyo kutoka kwa Putin mwenyewe.
Kwendana na Mashuhuda mbalimbali, marekani imekuwa ikirusha ndege za kiuchunguzi RC-135 Joint Rivet pembezoni mwa nchi washirika 24/7, ili kugundua matumizi yoyote yale ya mabomu ya kinyuklia kwa siri nchini Ukraine.
View attachment 2371445
Lengo kuu ni kuiwezesha serikali ya marekani pamoja na washirika wake kujibu mapigo kwa wakati kutokana na matumizi hayo.
Asante sana.Haya mambo mazito, acha tutazame tuone mwisho wakeView attachment 2371447
Hiki kinacho endelea kina athari kwa dunia nzima. Hadi hali kurejea kama awali sio leoAsante sana.
... hii sasa ndio Marekani tunayoifahamu! Dah; hawa jamaa wana silaha na mavyombo ambayo hata malaika hawayafahamu hak'ya nani!U.S. and allied intelligence agencies are stepping up efforts to detect any Russian military moves or communications that might signal that Vladimir Putin has ordered the use of nuclear weapons in Ukraine, according to five current and former U.S. officials.
“We’re watching it more closely,”
Recent efforts include tasking additional U.S. and allied intelligence assets — in the air, space and cyberspace — and relying more heavily on commercial Earth-imaging satellites to analyze Russian units in the field that might be in position to get the nuclear order, the official said.
Kwendana na taarifa za kuaminika kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya serikali ya Marekani, Marekani imeongeza nguvu katika kukusanya taarifa za kijasusi ili kuweza kugundua nyendo za majeshi ya Urusi kuhusiana na uwezekano wa matumizi ya mabomu ya kinyuklia nchini Ukraine, hii ni pamoja na uwezekano wa utolewaji wa amri hiyo kutoka kwa Putin mwenyewe.
Kwendana na Mashuhuda mbalimbali, marekani imekuwa ikirusha ndege za kiuchunguzi RC-135 Joint Rivet pembezoni mwa nchi washirika 24/7, ili kugundua matumizi yoyote yale ya mabomu ya kinyuklia kwa siri nchini Ukraine.
View attachment 2371445
Lengo kuu ni kuiwezesha serikali ya marekani pamoja na washirika wake kujibu mapigo kwa wakati kutokana na matumizi hayo.
Marekani it's no joke, na Putin anafahamu hilo.... hii sasa ndio Marekani tunayoifahamu! Dah; hawa jamaa wana silaha na mavyombo ambayo hata malaika hawayafahamu hak'ya nani!
Hayo kwa silaha za Us ni sawa na gobore tuHivi zile drone za Iran zimepotelea wap?
Nyingi zinadondoshwa sana Ukraine, ingawa bado ni challenge.Hivi zile drone za Iran zimepotelea wap?
Mambo ya military science hayathe occupation of Haiti, and most recently over Bosnia. Using automated and manual equipment, electronic and intelligence specialists can precisely locate, record and analyse much of what is being done in the electromagnetic spectrum. The fleet of 14 RIVET JOINT aircraft increased to 15 in late 1999 with the addition of a converted C-135B. The jet's conversion cost about $90 million.
Basic roles include:
The RIVET JOINT aircraft are capable of conducting ELINT and COMINT intercept operations against targets at ranges of up to 240 kilometers [in contrast to the 280 kilometer intercept range of the higher-flying U-2].
- providing indications about the location and intentions of enemyforces and warnings of threatening activity
- broadcasting a variety of direct voice communications. Of highest priority are combat advisory broadcasts and imminent threat warnings that can be sent direct to aircraft in danger
- operating both data and voice links to provide target info to US ground based air defenses
Hivi zile drone za Iran zimepotelea wap?
Hivi zile drone za Iran zimepotelea wap?