Mimi bwana, ile nashare video group flani la WhatsApp nikakosea nikashare sehemu mbili yaani wakati wa kuchek bahati mbaya nikaclick na sehemu nisio kusudia.
Kuja kucheki nimetuma na group jingine. Fasta Fasta nika delete. Dah si nikadelete for me badala ya for everyone.
Nilitamani nileft. Ile aibu.
Mi nilimtuma mtu akanichukulie mzigo kwenye basi, basi kondakta akawa anauliza mbona huyo jamaa hafiki na simu inaitaa tu hapokei nikamjibu 'atakuwa kabakwa kwenye gari' badala ya 'kabanwa'...
hiyo delete for me imenikuta majuzi tu. Bahati yangu hakikuwa kitu kibaya.Mimi bwana, ile nashare video group flani la WhatsApp nikakosea nikashare sehemu mbili yaani wakati wa kuchek bahati mbaya nikaclick na sehemu nisio kusudia.
Kuja kucheki nimetuma na group jingine. Fasta Fasta nika delete. Dah si nikadelete for me badala ya for everyone.
Nilitamani nileft. Ile aibu.
hatar sana aiseeNilikuwa nachati na binti yangu kumsaidia kujibu hoja fulani. Sentensi iliyokusudiwa ilikuwa "ukiandika ndiyo yanahitajika maelezo ya kina" hapo kwenye neno kina likajiandikak**a.
Aisee, nilihangaika kusimamisha sms haikuwezekana. Nikaanza kuichukia simu.
Kila mmoja akawa kimya. Niliwaza mtoto atanielewaje? Nitarudije home? Halafu tulikuwa tunakaa wawili tu. Baadaye aliendelea na kuchati, nikamjibu niko busy asubiri nimalize kazi nitampigia. Mawasiliano yaliendelea bila mjadala wa lile kosa. Nikikumbuka huwa najisikia aibu kwa mwanangu.
Watu mpo makini..Kuna jamaa humu JF anatumia ID name inayoitwa Mbwa Mwitj.
Sasa huyu nadhani siku hiyo wakati anajisajili JF ndo zilipotokea hzo typing errors... I think alitaka kuandika "Mbwa Mwitu"