TWRP

minjapeter

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
14
Reaction score
1
Naomba kujua jinsi ya kuweka TWRP recovery ya simu kwenye desktop pc
 
Aisee...unatka ufanye nini kwan? Yani uflash recovery ya simu kweny pc?
 
duh! ngumu kumeza ngoja wataalamu waje kutujuza
 
Jaribu kuflash kwa odin ikishindikana tumia njia ya Sd card yani flash kwenye simu moja kwa moja......kama huelewi kitu usijaribu mana kila kitu kinatakiwa kuwa compatible...ukibugi umebrick
 
Naomba kujua jinsi ya kuweka TWRP recovery ya simu kwenye desktop pc
Kama ni sumsung tumia odin ukiwa na zip au image file ua hiyo TWRP inayoendana na simu yako, kwa HTC tumia njia ya fastboot kwa CMD
 
Jaribu kuflash kwa odin ikishindikana tumia njia ya Sd card yani flash kwenye simu moja kwa moja......kama huelewi kitu usijaribu mana kila kitu kinatakiwa kuwa compatible...ukibugi umebrick
Haswaaa hili ndilo nlikua nalitaka
 
Jaribu kuflash kwa odin ikishindikana tumia njia ya Sd card yani flash kwenye simu moja kwa moja......kama huelewi kitu usijaribu mana kila kitu kinatakiwa kuwa compatible...ukibugi umebrick
Aina ya simu ni tecno w4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…