Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
I have been there severally. Its an amazing and huge placeThis infrastructure is huge and complex, I have toured inside of it and was so amazed.
Nairobi will be a huge huge metropolitan areaThink about Nairobi in 10 years.
Two Rivers, konza city, Nothlands, Nairobi Gate etc
Rudi Shule.Sisi waafrika tuna matatizo mnoo, badala ya kuboresha makazi yetu tunayoishi kila siku sisi tunajivunia majengo ya kupigia picha yanayotanda katikati ya miji!
Mimi nilitegemea ile mitaa ya uswahilini ya Nairobi (kama kule Kibera) ambayo zaidi ya 80% ya wakazi wa Nairobi wanaishi imeboreshwa, tuone nyumba bora, pawe pamepangika, kuwepo kwa vyoo, uhakika wa maji safi, mfumo bora wa maji taka, usalama nk.
Waafrika sijui tumerogwa na nani?
Acha kujumuisha kila mtu kwa umaskini wakoSisi waafrika tuna matatizo mnoo, badala ya kuboresha makazi yetu tunayoishi kila siku sisi tunajivunia majengo ya kupigia picha yanayotanda katikati ya miji!