Huo mchezo hupo sana Uganda...wana import mafuta (petrol Diesel) afu wanasema yanaenda DRC...yanapakuliwa mpakani (no country zone) yanarudi Uganda tena kimagendo...
Kuna mshikaji wangu aliishi sana mpakani alikuwa anannisimulia...na anasema police ndio wanakuwa walinzi...hata upige simu watakuja baada ya zoezi kumalizika...