Two in one house designing

Two in one house designing

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,135
Reaction score
1,000
Two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12M x14M inafiti katika plot ya 20x20M, design nzuri kwa kupangisha.

Kwa matumizi sahihi ya plot yako, jenga za two in one au three in one, punguza gharama za ujenzi
 

Attachments

  • SEM 09.jpg
    SEM 09.jpg
    586.4 KB · Views: 1,242
A three bedrms dsgn
 
Hilo paa nalitamaniga sana, hivi yale mabati yaliyokaa kama vigae yanakuwaga na ukubwa gani kila moja?
 
Hilo paa nalitamaniga sana, hivi yale mabati yaliyokaa kama vigae yanakuwaga na ukubwa gani kila moja?

Tembelea website ya Nabaki Africa, hapo utajipatia details zote za roofing material.
 
Two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12 kwa 14 inafiti katika plot ya 20x20, design nzuri kwa kupangisha.

Kwa matumizi sahihi ya plot yako, jenga za two in one au three in one, punguza gharama za ujenzi pia.


hizo namba ulizoziweka (12x14) na 20x20 ziko kwenye vipimo gani, cm, foot au meter?
 
Asante kaka, siku nyingine uwe unaweka kitu timilifu, huku kwetu hizo namba ulizoziweka tunajua ni miguu(hatua)

Vema. Vilevile vipimo kwa hatua za miguu yaani (Pacing) hutumika pia
 
Ok hebu nieleweshe kidogo hiyo two in one una maana upande mmoja kuna nini na nini na upande mwingine una nini na nini?
 
two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12m x14m inafiti katika plot ya 20x20m, design nzuri kwa kupangisha.

Kwa matumizi sahihi ya plot yako, jenga za two in one au three in one, punguza gharama za ujenzi pia.



mkuu hebu tuwekee sample ya three in one na tuambie specification zake. Asante by the way
 
Ok hebu nieleweshe kidogo hiyo two in one una maana upande mmoja kuna nini na nini na upande mwingine una nini na nini?

Hiyo ni duplicate ya kilichoainishwa, soma tena
 
Ok hebu nieleweshe kidogo hiyo two in one una maana upande mmoja kuna nini na nini na upande mwingine una nini na nini?

Yes, iko hivi. Upande mmoja una master moja na single moja, dining, sitting room, kitchen na public toilet. Na upande wa pili, kuna master moja na single moja, dining, sitting room, kitchen na public toilet. Ndio sasa nyumba ni mbili katika moja yenye Ukubwa wa 12M x14M.

Naam, somo limeeleweka!? Asante.
 
Naam, ukishaona jinsi kazi inavyotoka...... Yap, na pengine hitaji lako ni appartiment au hiyo three in one, basi una toa order kwa utaratibu uliopo kisha tunakufanyia design upendavyo wewe. Hivo ukisema weka design "y" tuone inaonekanaje au ndio nikupe order,,,,,, Oooh!!! Architecture can't be practised in such a way....... Leta idea unataka kazi iweje mtaalamy ayaboreshe mawazo yasko kivitendo zaidi,.... Hapo i mean technical design zinatofautiana, na kwamba hatujui kazi yako iwe na radha ipi!?
mkuu asante kwa majibu,japo naona kama UMEENDA MBALI SANA,kama ambavyo umetuwekea two in one hapo juu, nilikusudia utuwekee sample ya three in one kama ulivyoweka hapo juu, that's all other wise asante tena kwa majibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom