Waungwani habari zenu,
Napenda kuchukua fulsa hii kuwajulisha ya kwamba tumeandaa safari ya kitalii katika mbuga ya Ruaha ambayo ndio mbuga kubwa kuliko zote nchini.
Safari itaanzia pale Mlimani City siku ya Ijumaa jioni ya tar. 03/Novemba/2017
Kurudi ni siku ya jumapili tar.05/Novemba/2017
Gharama(Uchakavu)
Single: Tshs. 150,000.0
Double: Tshs. 250,000.0
Malipo hayo ni kwaajili ya usafiri, chakula, Malazi (kwenye hema) na kiingilio Mbugani.
pia tufanya mazoezi ya kupanda kwa miguu mlima Kitonga.😀😀
tafadhali ni PM walio na utayari.