Complicator EM
Senior Member
- Dec 20, 2011
- 155
- 39
1. Musa shujaa
2. Kapimbi amwokoa kapilima
3. Mchwa wadudu wa ajabu
4. Anduje mtoto mchunguzi
5. Tola ala konokono gizani
6. Kibanga ampiga mkoloni
7. Gedere wadudu waharibifu
8.
9.
Daah! Wapi WA KUSOMA mdogo wangu?
Enzi hizo sikuku kama hizi tayari baba alishaninunulia nguo wiki nzima ninazijaribu, kilo2 za mchele zimo ndani tangu mwezi wa9.
Hebu wanajamvi tuendelee kukumbushana enzi hizo, huku tukimpa pole mwanajamvi mwenzetu WA KUSOMA anayepita humu kama guest baada ya kula bann la 30days mpaka 19january2012.
Acheni kunizingua WA KUSOMA yuko wapi hapa?
1. Musa shujaa
2. Kapimbi amwokoa kapilima
3. Mchwa wadudu wa ajabu
4. Anduje mtoto mchunguzi
5. Tola ala konokono gizani
6. Kibanga ampiga mkoloni
7. Gedere wadudu waharibifu
daah! Wapi wa kusoma mdogo wangu?
Enzi hizo sikuku kama hizi tayari baba alishaninunulia nguo wiki nzima ninazijaribu, kilo2 za mchele zimo ndani tangu mwezi wa9.
Hebu wanajamvi tuendelee kukumbushana enzi hizo, huku tukimpa pole mwanajamvi mwenzetu wa kusoma anayepita humu kama guest baada ya kula bann la 30days mpaka 19january2012.
8. Siku ya gulio katerero
9. Sadiki na sikiri
10. Sizitaki mbichi hizi
11. Bata ni ndege
12. Kama mnataka mali mtayapata shambani
13. Pamela na kipini
14. Mfalme mwenye masikio kama punda