Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,996
- 288,238
Bila shaka wanasema hivyo kwa vile wanawaua viongozi wa Chadema watakavyoHalafu kuna mapimbi yanasema CDM imekufa.
Hizi nyomi isiwe hoja, kwani siku zote CHADEMA huonyesha nyomi hata zaidi ya hizi.Bila shaka wanasema hivyo kwa vile wanawaua viongozi wa Chadema watakavyo
CHADEMA inahitaji sana kujuwa njia nzuri za kuzishirikisha nyomi hizi kukataa unyonge inao fanyiwa na CCM na polisi wake.Halafu kuna mapimbi yanasema CDM imekufa.
Ndicho tunachojipanga nachoWatapiga kura?
Kura mtaweza kuzilinda?
Uchaguzi wenyewe mtaweza kuulinda?
Endelea kuliaKumbe shughuli ya kiuchumi ya mwaipaya ni kufuga njiwa, nimelia sana
Ccm limebaki jina tu na polisiHuyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
Morogoro imeendelea kuamkaHuyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
SawaEndelea kulia
Sisi mabasi ya kuzikia yanatosha, tukimtoa mtatukodia hata Coaster?Morogoro imeendelea kuamka
ππππEndelea kulia
Hili ndiyo kosa la CHADEMA kuamini nyomi wakati hilo nyomi linaishia kwenye mikutano na siyo kwenye sanduku la kura.Hizi nyomi isiwe hoja, kwani siku zote CHADEMA huonyesha nyomi hata zaidi ya hizi.
Hoja sasa ni lazima iwe hizi nyomi zitafanya nin; Zitakuwepo kupiga kura na kukataa kura zao kuchezewa na wakala wa CCM?i
CHADEMA inahitaji sana kujuwa njia nzuri za kuzishirikisha nyomi hizi kukataa unyonge inao fanyiwa na CCM na polisi wake.
Hili ndilo litakalo kuwa jibu sahihi la kumaliza matatizo ya uonevu wa CCM.
Hamjipangi acha kutudanganya wagombea wenu wamekatwa Tena bila sababu za msingi na waliowakata bado wanadunda mtaani mkishinda akatangazwa mwingine mtakuwa na kipi Cha kufanya ?Ndicho tunachojipanga nacho
Wananchi pote nchini wana Imani kubwa sana na Chadema.Huyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
HakikaMorogoro imeendelea kuamka
Unataka tuwaue kama wao wanavyofanya?Hamjipangi acha kutudanganya wagombea wenu wamekatwa Tena bila sababu za msingi na waliowakata bado wanadunda mtaani mkishinda akatangazwa mwingine mtakuwa na kipi Cha kufanya ?