Inamaana hiyo Tv 1 haijitegemei kwa Ving'amuzi?
Kama Chanel hiyo itakuwa ndani ya Startimes na Azam basi sitaona tofauti kati yake na Dstv. Maana hapa huyo Tv 1 aweke chake na Azam/Startimes aweke chake, we mlala hoi utauziwa bei gani hicho kifurushi?
Aaah hata hivyo ngoja tusubiri.
BACK TANGANYIKA
Mkuu Tv1 haiko Tanzania tu kumbuka, ndo maana inaitwa Tv1 TanzaniaDstv ndio wana haki hiyo, wao si wale wa match moja ya jmosi, kwanza wanachannel moja tu, sidhani kama ni match zote