Aloo wewe mtu una dharau sana, au wenye mtandao ni nyie tu wa huko majuu ? Halafu kwa taarifa yako tulipotoka kupigana Uganda ,nilikuwa naishi Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,ni kijijini uko ndani kabisa,tuliondoka na rova(Landrover) ya kazini jeshini ,tukapita nayo kuanzia Mara tukakatisha katika mbuga za wanyama hadi tukatokezea Korogwe ,sasa mbuga zote unazozijua wewe tulipita na kulala pale kijijini kwa WaIraqi watz weupe,kabla atujaingia Arusha na Moshi.Njia tuliopita hairuhusiwi kupita gari zingine au private car ,ukitokea Bunda kabla hujaingia Mara kuna kabanda kadogo wanakaa watu wanaolinda pori ,walipoona ni sisi wazee wa kazi wakasema haya piteni wakuu,haoo tukakata mbuga.Sasa leo nipo Ngorongoro unasema wewe pekeyako ndio kwenu ,huachi uzushi.Acha porojo wewe UK imekuwa Ngoro ngoro ambako hujawahi Tia sura yako!
dah!Aloo wewe mtu una dharau sana, au wenye mtandao ni nyie tu wa huko majuu ? Halafu kwa taarifa yako tulipotoka kupigana Uganda ,nilikuwa naishi Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,ni kijijini uko ndani kabisa,tuliondoka na rova(Landrover) ya kazini jeshini ,tukapita nayo kuanzia Mara tukakatisha katika mbuga za wanyama hadi tukatokezea Korogwe ,sasa mbuga zote unazozijua wewe tulipita na kulala pale kijijini kwa WaIraqi watz weupe,kabla atujaingia Arusha na Moshi.Njia tuliopita hairuhusiwi kupita gari zingine au private car ,ukitokea Bunda kabla hujaingia Mara kuna kabanda kadogo wanakaa watu wanaolinda pori ,walipoona ni sisi wazee wa kazi wakasema haya piteni wakuu,haoo tukakata mbuga.Sasa leo nipo Ngorongoro unasema wewe pekeyako ndio kwenu ,huachi uzushi.