Tv set 4 sale..

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,229
Kwa wale wa mabanda ya video show na video game.. nina tv chogo nch. 21 aina ya panasonic pamoja na deki ya singsung hd 1 naviuza kwa bei ya kitonga....110k tu kwa vyote, ukitaka kimoja pia tutahongea.
Viko mkuranga... kwa maelezo zaidi ikiwamo pictures nifate watsap kwa 0687 089980....
Nawasilisha.
 
Mimi nauza T C L 32" used...iko ktk hali nzuri sana...
Nauza 350000
 

Mkuu umenikumbusha miaka ya 2002....kuna jamaa alikuwa anaonyesha mapicha hapo mkuranga mjini anaitwa Ngutu, hivi bado yupo??
 
chabo weka namba ya simu tuongee kuhusu hiyo tv
 
Niko na 70 mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…