OK poa nakutumia
last priceTV na stand Vinauzwa arusha ,TV Ni nchi 26 bei sh 300,000 na stand sh 100,000,vipo kwa morombo
Iyo Ni fixed aipungui apo
Kama ni dukani/supermarket inawezekana!Iyo Ni fixed aipungui apo
Karibu
Aya poa Nenda kanunue iyo stend ya 15Bei juu sanaaa wakati ukitaka nch32 unaongeza 45 au 50 tu hapo. Stand mjini unapata kwa 15000 hadi 25000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app