Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Mwanangu nunua TV nyingineHabari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa.
Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home nilimuachia Getto Dogo, na niliacha Tv inafanya kazi kila sehemu,
Sasa nimerudi nakuta sehemu pa kuchomeka flash/ USB, hapatumiki, anadai kuwa alipalock kwa bila kujuwa, Nilikuwa nawaombeni anayefahamu namna ya kuilekebisha au kutoa lock hiyo kwa kutumia Remot.
Natanguliza shukurani kwenu na naheshimu mchango wenu
Mwanangu nunua TV nyingine
Hio inch 19 ni desktop
Ni kweli kabisa ndugu yangu ila maisha mafupi haya. Usikute unapata pesa ila unazigawa kwa marafiki na kuhonga wakati ukiwa na laki tatu au nne unapata 32inchi swaafi kabisa .Mkuu uchumi duni[emoji16] kila mtu na size yake ya maisha.
Mkuu mimi nimeichoka 65” natamani 70”Maisha kweli ni tofauti, Mimi hapa nimeichoka inchi 43, nahitaji 55. Lakini kuna mtu anatamani apate hata inchi 18. [emoji2297]
Chukua rimote ingia seting kila kitu kinajieleza hapo unaweza seti hata antena isipokee mawasiliano au flash au ulikiwaka sekunde kadhaa ijizime au kuwasha bila pasawrd tv isiwake hiyo sio shida ya kiufundi ni seting tuu aligusa.Habari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa.
Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home nilimuachia Getto Dogo, na niliacha Tv inafanya kazi kila sehemu,
Sasa nimerudi nakuta sehemu pa kuchomeka flash/ USB, hapatumiki, anadai kuwa alipalock kwa bila kujuwa, Nilikuwa nawaombeni anayefahamu namna ya kuilekebisha au kutoa lock hiyo kwa kutumia Remot.
Natanguliza shukurani kwenu na naheshimu mchango wenu
Mkuu mimi nimeichoja 65” natamani 70”
Ila jamaa wanataka kunipiga wananiambia mil 3 huko . Nasubiri zishuke shuke .
Nakushauri jipange uvute 70” kabisa achana n 65” utaichoka haraka.
Habari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa.
Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home nilimuachia Getto Dogo, na niliacha Tv inafanya kazi kila sehemu,
Sasa nimerudi nakuta sehemu pa kuchomeka flash/ USB, hapatumiki, anadai kuwa alipalock kwa bila kujuwa, Nilikuwa nawaombeni anayefahamu namna ya kuilekebisha au kutoa lock hiyo kwa kutumia Remot.
Natanguliza shukurani kwenu na naheshimu mchango wenu
Ubarikiwe mkuu, ngoja nijaribu nioneChukua rimote ingia seting kila kitu kinajieleza hapo unaweza seti hata antena isipokee mawasiliano au flash au ulikiwaka sekunde kadhaa ijizime au kuwasha bila pasawrd tv isiwake hiyo sio shida ya kiufundi ni seting tuu aligusa.
Pesa zikipatikana nanunua nyingie, ni jambo la kusubiri mda tu shimo likitemaMwanangu nunua TV nyingine
Hio inch 19 ni desktop
Safiii. All the bestPesa zikipatikana nanunua nyingie, ni jambo la kusubiri mda tu shimo likitema
Ndio nimepata muongizo lakini sijujuwa niende wapi katika settingNatumae mleta mada umepata muongozo...