Mimi yatimaNauza tv inch 40 550000Tsh sony bravia kdl40d3500 ina remote yake kabisa og (mashine) nipo tabata
0755357718View attachment 1660326
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa kala mbwaMimi yatima
Kula 250,000/= mkuu
😂 😂 😂 😂 😂Mimi yatima
Kula 250,000/= mkuu
Dukan shs ngapi hii makitu?Nauza tv inch 40 550000Tsh sony bravia kdl40d3500 ina remote yake kabisa og (mashine) nipo tabata
0755357718View attachment 1660326
😂😂Akija marehemu ataomba apewe bureMimi yatima
Kula 250,000/= mkuu
Unaweza kutuma Short clip unapoiwasha inakuaje hapo ndio huwa kipimo cha kujua Sony originalNauza tv inch 40 550000Tsh sony bravia kdl40d3500 ina remote yake kabisa og (mashine) nipo tabata
0755357718View attachment 1660326
Swali jepesi tu unalijibu kimkato 😬😬Mzee baba hii tv ni original mzee... Wewe kama unahitaji waweza kuja iona
Chukua video fupi wakati ukiiwasha kama alivyosema mtaalam hapo juu.Hilo sio swali bali wewe unanipa kazi ya kufanya