Kitu kirahisi ni kubeba TV na kupeleka kwa Fundi ajue tatizo nini hapa utaambiwa hiki au kile kumbe ni kitu kingine kabisaa na ukaua TV yenyewe...kucheki tatizo wanachaji elfu kumi tu ukiwa hapo hapo na TV yako utaamua watoe hiyo parts ukanunue au laa uondoke nayo bila Wazungu kuonekana...