Kama unataka basic tv pekee ingia kariakoo utapata nyingi chinese substandard kwa bei rahisi sana. Lakini kama unataka tv ya maana basi kwanza jifunze aina mbalimbali za flat tvs, jaribu kugoogle, maana inaelekea you dont have the slightest idea juu ya modern tv