Joram Dymisster
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 502
- 430
Ni kwajili ya kupata atention yako Mkuu....Aaa bhana wewe hyo heading yako ulivoandika Sasa!!!
Mkuu baada ya samata kuna mwingine ameshashinda hii tuzoKwa maana hiyo Mbwana Samatta anaendelea kuwa mshindi wa tuzo hiyo hadi watakapo amua vinginevyo.(This is Africa!)
Mkuu,kwa kumbukumbu zangu,jibu ni hapana.Tangu atwae hawajawashindanisha tena wachezaji wa ndani ya Afrika.Mkuu baada ya samata kuna mwingine ameshashinda hii tuzo
Alichukua denis onyangoMkuu,kwa kumbukumbu zangu,jibu ni hapana.Tangu atwae hawajawashindanisha tena wachezaji wa ndani ya Afrika.
Acha uongo na vitu kama hujui kaa kimya.Mkuu,kwa kumbukumbu zangu,jibu ni hapana.Tangu atwae hawajawashindanisha tena wachezaji wa ndani ya Afrika.
Acha uongo na vitu kama hujui kaa kimya.
Unamjua Onyango? Ndio alichukua baada ya Samatta
Asante,mkuu kwa darsa lako.(Una ustaarabu pia).Alichukua denis onyango
CAF scrap African-based Player of the Year award