Habari wana JF??
Natafuta duka linalouza suti aina ya Tuxedo hapa jijini Dar, ningependa suti halisia (Original) na si za kimagumashi kama nilizowahi kubambikiwa awali.
NB: Sipendi niende kwenye duka then waniambie hiyo ni special order kama mengi niliyozungukia wanavyoniambia, nataka nikija nachukua changu nakuachia chako hatujuani tena na si habari za kupress order.
Nategemea kupata info zaidi kutoka kwenu wana JF wajuvi wa maduka ya nguo.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu
Kijana Juzi a.k.a. babu leo
Mkuu una harusi? Maana hayo mambo unapozungumzia wengine tunawaza ni function za lazima tu zenye kupewa kipaumbele kiasi cha kusisitiza "original" tux! Kama kweli unaamua kutupia kitu original kuanzia tux, shirt, tie, cufflinks, dress watch, na shoes walah utakuwa umevaa mtaji kaka. Mf. Original Tux ya Mzee mzima Tom Ford ni around 9M (Millioni tisa za bongo), Shati la maana kutoka kwa Jay Kos andaa kama Millioni moja ya madafu, Chini utupie kigozi cha Salvatore Ferragamo kutoka uitaliano kwa 1.8M, Usisahau Tai kaka, Dolce Gabana watatupatia kwa Laki 4, Hapo sasa unaanza kuonekana gentleman, na unatakiwa utupie saa ya maana, kama una rolex lako flashy hapa si mahala pake, you need something sleeky any simplish, hebu jaribu Master Control ya Jaeger-LeCoultre, hiyo itatugharimu kama 5M, ...ah aaaah, nlitaka kusahau vishkizo baba, kwa jinsi ulivyovaa hauwezi kufunga cuflink za elf5 kutoka kariakoo, lazima uandae laki 2 hivi! Sasa hebu tujumlishe tuone tumetupia kiasi gani mwilini; ni karibia 17M, millioni 17!!! Na hapo sijazungumzia viwalo vya high end kaka! Vifaa vingi vya disgners bei zmesimama, hata Burberry, Gucci,Neil Barrett na wengine bei zao si mchezo. Hapo posta wahindi wanatuuzia ronya na kutuongopea ni vitu jiniani?..WEZI TU!
.....Sasa Mkuu Kijana Juzi hebu niambie tu ukitupia madude yote hayo utatupia unyunyu gani, usijekuniambia Boss uliyonunua pale kwa wale wamachinga, hapo kaka lau utupie kitu cha 1 Million ya Paco Rabanne, jiandae kugawa namba ya simu kwa sanaa! lol.
mkuu umeua,nakupA like mwana, original? aende tu hata pale woolworth atakubali mwenyewe matokea au hata pale brand house somora.

Duh,ngoja nijipange wakuu bajeti inakaribia kusoma
haya sasa mdau kazi ni kwako.
jeba CYBERTEQ amevunja
Hahahha, mdau Kijana Juzi naona alikuwa anafanya window shopping!
Masikhara hayo jamaa!! Sikuwa nafanya window shopping, nilishafanya yangu kitambo sana!! Sikuuona huu uzi sijui ulipotelea wapi. Wengine tukiuliza vitu basi huwa tunahitaji msaada wa ukweli na si porojo
Mkuu una harusi? Maana hayo mambo unapozungumzia wengine tunawaza ni function za lazima tu zenye kupewa kipaumbele kiasi cha kusisitiza "original" tux! Kama kweli unaamua kutupia kitu original kuanzia tux, shirt, tie, cufflinks, dress watch, na shoes walah utakuwa umevaa mtaji kaka. Mf. Original Tux ya Mzee mzima Tom Ford ni around 9M (Millioni tisa za bongo), Shati la maana kutoka kwa Jay Kos andaa kama Millioni moja ya madafu, Chini utupie kigozi cha Salvatore Ferragamo kutoka uitaliano kwa 1.8M, Usisahau Tai kaka, Dolce Gabana watatupatia kwa Laki 4, Hapo sasa unaanza kuonekana gentleman, na unatakiwa utupie saa ya maana, kama una rolex lako flashy hapa si mahala pake, you need something sleeky any simplish, hebu jaribu Master Control ya Jaeger-LeCoultre, hiyo itatugharimu kama 5M, ...ah aaaah, nlitaka kusahau vishkizo baba, kwa jinsi ulivyovaa hauwezi kufunga cuflink za elf5 kutoka kariakoo, lazima uandae laki 2 hivi! Sasa hebu tujumlishe tuone tumetupia kiasi gani mwilini; ni karibia 17M, millioni 17!!! Na hapo sijazungumzia viwalo vya high end kaka! Vifaa vingi vya disgners bei zmesimama, hata Burberry, Gucci,Neil Barrett na wengine bei zao si mchezo. Hapo posta wahindi wanatuuzia ronya na kutuongopea ni vitu jiniani?..WEZI TU!
.....Sasa Mkuu Kijana Juzi hebu niambie tu ukitupia madude yote hayo utatupia unyunyu gani, usijekuniambia Boss uliyonunua pale kwa wale wamachinga, hapo kaka lau utupie kitu cha 1 Million ya Paco Rabanne, jiandae kugawa namba ya simu kwa sanaa! lol.
Vipi, au tukuelekeze sehem ya kupata hiyo original lakini mtumba?
.Mkuu naomba nielekeze kwenye mtumba ! huko kwa og tunawaachia kina Ridhione

Mkuu yaani utupie mtaji mwilini?wakati huo unatembea na walinzi wa kufa mtu.