jamani tags hizi ni sa muhimu sana kwani zinasaidia unaposearch kwenye search engine mbalimbali. ni vizuri tunapokuwa tunapost humu basi tusisahau kuweka tags ili kurahisisha utafutaji wa post. JF inaruhusu mpaka tags 5 ambazo zinatosha kabisa.....ni matumaini yangu kwa siku zijazo JF itarusu kuongeza na kuhariri tag kwenye post hata ambayo hujaianzisha wewe. Mfano angalia nilizoweka mimi yaani hapo uki-google kwa kutumia hizo keyword moja kwa moja unakuja humu JF kwenye huu uzi
EDIT: Tupunguze na hizi post zenye title ambazo hazieleweki kama vile Msaada, msaad tafadhali: kama kichwa ni msaada basi angalau kuambatane na msaada unaotaka.
nyasiro wadau wengi wanatumia simu sidhani kama option ya kuweka tags ipo,hilo la kuweka msaada: , news alert; , mimi mwenyewe uwa siliafiki sana ndo maana most of izo thread uwa naziedit title
nyasiro wadau wengi wanatumia simu sidhani kama option ya kuweka tags ipo,hilo la kuweka msaada: , news alert; , mimi mwenyewe uwa siliafiki sana ndo maana most of izo thread uwa naziedit title