snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,720 23,684 Sep 14, 2021 #41 Unique Flower said: Hata wewe hujaelewa jibu langu. Nitamjuaje aliyeoa cha kwanza muonekano. Pili maongezi yake Halafu wanawake marafiki zangu wanakuja wanalalama wengine ndugu zangu mbona hivyoo?? Halafu tunawasaka Click to expand... We kuna shida mahali. Ila fresh, ndo JF
Unique Flower said: Hata wewe hujaelewa jibu langu. Nitamjuaje aliyeoa cha kwanza muonekano. Pili maongezi yake Halafu wanawake marafiki zangu wanakuja wanalalama wengine ndugu zangu mbona hivyoo?? Halafu tunawasaka Click to expand... We kuna shida mahali. Ila fresh, ndo JF
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Jul 27, 2017 8,085 13,882 Sep 14, 2021 #42 The Hebrew said: Hujaelewa swali. Umesema wewe hutembei na vya watu, ndio nakuuliza unajuaje ni vya watu na kwenye thread unalalama hawajitambulishi? Click to expand... Mkuu umekuwa serious sana
The Hebrew said: Hujaelewa swali. Umesema wewe hutembei na vya watu, ndio nakuuliza unajuaje ni vya watu na kwenye thread unalalama hawajitambulishi? Click to expand... Mkuu umekuwa serious sana
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,164 Sep 14, 2021 #43 Shida ni hawa wehye mikia mbele aisee...... Macho juu juu