Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,891
Hakuna lolote mie sijatendwa na sitembeagi na vya watuujumbe umefika ... ila kama kuna jambo
vizuri kama ni kweli ...Hakuna lolote mie sijatendwa na sitembeagi na vya watu
Tunakusemaje tena??Mbona mnanisema hivyo
Nasema ukwelivizuri kama ni kweli ...
mchepuko mie nimewafanyajeTunakusemaje tena??
kweli kabisaNasema ukweli
Sijampangia mtu maisha nimewaonya ukisema umeoa shida iko wapo??Usitupangie maisha yetu we mtoto..
Pole sana,ndiyo ukubwa huo.Hatukatai wadau jf kuwa mpo fresh na mnaendelea na majukumu.
Ni hivi mbona waliooa siku mingi kama 2000 nakuendelea mbele mpaka 2010 hawawatu wanakuwa natabia ya kuficha mahusiano yao?
Mtu hawezi sema nimeoa mpaka alete mtarafuku na maugomvi kati ya mchepuko na wife ndio anasema shida yao nini??
Maana wengine hadi napete tokea aoe havai .
Acheni kuumiza watu maisha sio hivi mnavyoishi.
Kwani ukisema umeoa unapungukiwa na nini??
Ipo siku mkeo ataletewa shida kubwa tu na mchepuko .
Unakuta mchepuko ni mjeda au ni polisi au ni mnyanyua vyuma na hujamwambia unamke.
Haya ipo siku mtarekebishwa na mtatulia yangu machoo nimewasilisha.
Ujumbee umefika .
Sijatendwa ninawaonya mmezidiPole sana,ndiyo ukubwa huo.
Nasema ukwelikweli kabisa
🤣🤣🤣mchepuko mie nimewafanyaje
hawezekani mniseme kila siku mimi tu
Umeamua kufurahisha jukwaahawezekani mniseme kila siku mimi tu
Unavijuaje ni vya watu maana umesema havijitambulishiHakuna lolote mie sijatendwa na sitembeagi na vya watu
Kuna ndugu kuna marafiki wanakuja wakulalamikaUnavijuaje ni vya watu maana umesema havijitambulishi
Hujaelewa swali. Umesema wewe hutembei na vya watu, ndio nakuuliza unajuaje ni vya watu na kwenye thread unalalama hawajitambulishi?Kuna ndugu kuna marafiki wanakuja wakulalamika