Naleta mada hii kwenu kwa siku ya leo ili tukumbushane uwepo wetu hapa duniani. Kuna kila sababu ya kumshukuru Mungu ukiangalia watu wanaokuzunguka. Mie nikimwangalia mtoto wangu namshukuru Mungu. Kwanza mijitu ilisema sizai, misenge hasa. Haya, ma mkwe akamfanyia sunna bila kunitaarifu na mtoto wangu sikujua atapona ila Mungu aliingilia kati. Humu JF kunanipa raha, napata ushauri nikiwa nimekwama, everything that surrounds me I attribute it to God.Na wewe ndugu yangu mshukuru Mungu. Una afya nzuri, kuna ambao wamelazwa. Umevaa nguo, kuna wanaovaa matambara. Etc etc. Count your blessings, and it will surprise you what the Lord has done!

Aisay kumbe wengi tumeona vile:A S shade:Ameen!!!!!!!!
ila usingeandika hicho kwenye hii thread ya kumshukuru mungu.
Ameen!!!!!!!!
ila usingeandika hicho kwenye hii thread ya kumshukuru mungu.
Evelyn Salt nimeogopa nilipo soma hilo tusi,afu sikuamini kama nimesoma heading ipasavyo,maana hili neno ni kali sana. Lakina nilivyosoma thread yote nikapata muktadha mzima na mazingira ya muandishi yakanijia kichwani nikapata majibu..
ha ha ha haya bana pole sana!!!!!!!!
Aisee teacher Evelyn Salt miss you sana! Wacha ni kutafute hule mtaa bila mafanikio! God is good all the time nimekuona! Hpe your ok!
Mi nipo poa nilikuwa bize nasimamia mitihani teh!!
i miss u too.....
Count your blessing name them one by one,
Count your blessing see what Lord has done,
Count your blessing name them one by one,
And you will be suprised to see what Lord has done.
1: nimeamka mzima
2: nina kibarua
3: nina sh 2 bank
4: nina watu wanaonipenda
5: nina uwezo wa kupata chakula
5: I have a roof over my head (hata kama ya kupanga)
7: I can see, walk, talk
8: naweza ingia ntandaoni
9: nina mjua Mungu
10: sijafungwa
11
101
1001
100001
Asante Mungu!
Aisee Karucee umeongea jambo la msingi sana ambalo wengi wetu tuna lisahau sana!
Ni vyema kumshukuru mungu kwa kila jambo pia tusisahau kuwa samehe wanao tukosea!
Pole sana inaonekana ulikwanza sana, mshkuru mungu kwa kila jambo. Pia hapo umeonesha una hasira sana ni vyema ukajizuia!
Kuna maneno umeyatumia kwenye ujumbe wako yame haribu maana ya heading!