peleka habari hii kwenye jukwaa la habari mchanganyiko mkuu,humu si mahali pake
hawasi wanachuo? si jukwaa la elimu? kama huna la kushauri, pita kimya kimya. Naamini JF kuna wadau wwengi ambao wengine ni waajiri na wanaweza kuwapa japo tempo work. Pamoja na kuandika e-mail kwa wenye moyo, private sms ni nzuri zaidi
nilisoma udsm nakwambia kuna wanahakati mandazi pale alafu kila kunji ikikalipia paper lol.........Kwanini UDSM tu? Mbona kuna vyuo vingi tumeshasoma habari zao kuwa wamefukuzwa! Na hao wasaidiwe vipi? Labda uanzishwe mfuko wa kusaidia wanafunzi wanaofukuzwa vyuo kutokana na migomo.