Tuwalinde watoto wetu jamani hata baina yao

Televisheni zenu hapo maskani mnatazama vipindi vyenye mahaba na watoto,kila saa mnafungulia nyimbo za bongo fleva n.k zinasisitiza ngono zembe.Wazazi wapo bize kutafuta Pesa huku mtaani watoto wanaharibika..Kuheshimu vipindi na kuzingatia malezi.Wazazi wenyewe sio waaminifu wasalitiana je wataweza kulea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…