R rude Boi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2021 Posts 333 Reaction score 637 Jul 27, 2023 #1 Wanajamvi habari. Ninaomba kufahamu kama kuna tution center kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha sita ya masomo ya sanaa maeneo ya Mromboo au Intel.Nikipata mawasiliano itakuwa vizuri sana.
Wanajamvi habari. Ninaomba kufahamu kama kuna tution center kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha sita ya masomo ya sanaa maeneo ya Mromboo au Intel.Nikipata mawasiliano itakuwa vizuri sana.