B Brightest Member Joined Mar 2, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jun 21, 2013 #1 Jamani waungwana hivi huu ujio wa Rais Obama unaipeleka wapi nchi yetu? Sasa hivi kila kona ya jiji ukijichanganya tu imekula kwako. Askari kila mahali utafikiri nchi iko kwenye STATE OF EMERGENCY????:heh:
Jamani waungwana hivi huu ujio wa Rais Obama unaipeleka wapi nchi yetu? Sasa hivi kila kona ya jiji ukijichanganya tu imekula kwako. Askari kila mahali utafikiri nchi iko kwenye STATE OF EMERGENCY????:heh: