Tutamkumbuka sana Kikwete

Utamkumbuka Wewe labda, sijui kwa Kitu gani alichofanya.
Nikuwekee point straight: Magufuli ana nafasi kubwa sana ya kum "dwarf" huyo muuza sura wako, Magufuli anahitaji kujisahihisha kwenye democracy Na kuacha u "militant"

Tanzania problem Ni corruption Na stagnant economy; hayo ya democracy aachie huru (atuachie) arndelee Na "hapa kazi tu" yake
 
hiyo democracy mnayoidai toka kwa mh rais haina maana sana kwa wananchi wa hali ya chini, wapinzani walienjoy maisha na walikua wakilialia yaani kidogo tu utaskia wapo ikulu kupata kikombe cha kahawa
 
Rais Magufuli akijirekebisha katika demokrasia atakuwa ni rais wa mfano Afrika nzima.

Sema akiruhusu Vurugu na ghasia kwa kigezo cha Demokrasia.
Rais tayari ni Rais wa Mfano Afrika Mashariki na kuna Waziri Kenya anajiita Magufuli kwa Uchapakazi, tayari wakwepa kodi sugu wa Bilicanas na Tanzania Daima wameonja Pombe kutoka Chatto.
 
Ungetiririka na kiswahili chako cha kihehe ungeeleweka zaidi arifu
 
alikua anajua ni nini maana ya siasa na alikua anajua siasa sio uadui.
hata magu anajua maana ya siasa ila ndo hivyo kabana sana hakuna ujanja ujanja tena so wapiga dili hawana nafasi na wanapatashida zaidi
 
Huyo kikwete mtamkumbuka kwa lipi,labda tuseme kwa kwenda kwenye misiba na harusi!
 
Naona bado hujaisoma namba vizur.. !
 
Naona kina lisu wanajisevia tu!, au macho yangu? So hiyo picha inamaana ya uzalendo au ukomavu wa kisiasa ,,,,hebu nifafanulieni maana ya kukumbukwa kwa mh Jk na chai mezani, si
Sijaelewa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…