nilishawai kutupa uzi kama huu hapa jamvini na bado narudia tena.... uzuri wa soka statistics ndio zinaeongea!!! tuliwatoa uganda kwenye similar competition tukaenda chan kwa 2 - 0 aggregate na sasa tumetolewa na hao uganda kwa 4-1 aggregate... hii inaonyesha wazi toka marcio marximo aondoke tumekua tunashuka chini!!!

Mkuu hii ni sawa na ule msemo usemao 'USIMLAUMU DOBI, KANIKI NDIO RANGI YAKE'. Tulikuwa tunakuwa kimpira ndio maana tukacheza na wafalme wa soka duniani Brasil. Lakini kwa kuwa sie ni kaniki wakamfitini Maximo kwa mapenzi ya kuona baadhi ya wachezaji wao vipenzi hawachaguliwi na huyo kocha kufaidi PESA za wafadhiri.
kamwe sikuwahi kumkunbali maximo, katukuta wa 147 katuacha wa 140 na ngapi sijui, timu gani ilikuwa haipigi hata pasi tatu? timu ukienda kuangalia huna raha mpaka usikie filimbi mpira umeisha? haikuwa timu ilikuwa ugonjwa wa moyo .

kaka unatakiwa uongeee kwa statistics si mapenzi binafsi toka marximo aondoke hakuna kocha aliyefikia hata yale mafanikio yake....... kumbuka kwenda chan tuliwatoa uganda, sudan na kule pia tuliwafunga hadi wenyeji ivory coast... tuliwavimbia cameroon hapa, senegal nk
kwa nchi zingine kocha anayekuja baada ya yule wa zaman anapewa target ambazo ni za juu ya yule aliyetoka sasa kama watanzania tunaridhika na kocha ambaye hatahafikii mafanikio ya aliyemtangulia basi tatizo ni akili zetu!!!