Hivi hiyo ndege inayovutwa itakapoanza kurudi chini kwa maana ya kuanguaka, itakuaje? je ndege hiyo nzima nayo itarudi chini? au haitarudi kutokana na force inayoifanya iwe juu?? na je hii nyingine mbovu itaanguka? au itabaki inaning'inia tu kwa hiyo kamba? au kamba itakatika na ndege mbovu itaanguka? - nadhani nimeeleweka swali, wana sayansi plz