Huyu Slaa kashindwa uchaguzi sasa anataka watu wauwane.
kwaa tz yetu hii, atachemsha tu muda si mrefu
ww Kibunango si una maslahi ktk CCM? Sisi tunazungumza matatizo yetu ya Tanganyika ww unaleta za kuleta.Chadema ni wahuni tu! Imekula kwao!
When my invisible prezda speaks,I never add a word bt to follow!
Huyu Slaa kashindwa uchaguzi sasa anataka watu wauwane.
Maandamano haya si ya kudai umeme ni kuhusu chaguzi za mameyawow,Tanzania kuna maandamano kweli au haya ndo yatakuwa ya kwanza?
maana umeme unapanda kipuuzi tu tunakenua meno kama mabwege vile,wenzetu msumbuji mkate tu ulipanda bei wakagoma!
Lets wait and see,ila hakuna chochote hapo
Chadema ni wahuni tu! Imekula kwao!
Kweli Slaa umeshikwa pabaya, na haya unayotaka kuanzisha hatuafikiani nayo, dola ikiwafanya vibaya sie hatumo, kwani huko ni kuichokoza dola kwa makusudi kabisa.
Mtu anayedai haki huitwa muhuni?
Mungi :drum:Who will be the first to sacrifice?