hongera Uganda cranes, ila dah inauma sana kwa warwanda. Micho anakubali matokeo coz ndio soccer lilivyo.....anashindwa hata kuelewa inakuaje unaongoza goli moja mbele kwa mara mbili mfululizo na pia unapata nafasi ya kuongoza penalti mbili za ziada then unakosa ushindi..hii kweli ndio soccer.