Tusiwaamini wanasiasa hawa

Songolominu

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
21
Reaction score
12
Ishi Nao Lakini Usiwaamini...
1: Tunataka Rais ambaye hata angalia sura ya mtu (John Mnyika 2012 akiwa Kirombero Morogoro).
2: Tunataka Rais mkali asiye cheka cheka na mtu (Peter Msigwa alikuwa akihutubia Mbeya).
3: Tunataka Rais asiye safiri safiri nje (Freeman Mbowe akiwa kanda ya Ziwa 2013).
4: Nchi hii inahitaji Rais Dikteta na si-vinginevyo (Tundu Lisu akiwa Dar).
5: Tunataka Rais ambaye atakuwa anakusanya kodi (Freeman Mbowe akiwa Tandahimba).
6: Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhamu serikalini (Godbless Lema Mbeya).
7: Nchi hii inataka Rais atakaye wafunga jela mafisadi (Heche Tarime).
8: Tunataka Rais atakayelinda Maliasili zetu (Mchungaji Msigwa 2014 Bungeni).
9: Rais Magufuli analeta maendeleo kwa watanzania na anapaswa kuungwa mkono (Zitto Kabwe 2017 ziara ya rais Kigoma).

...Baada ya 2015 wamebadilika...
 
Wanasiasa si wakuamini kiasi hicho wanabadilika kulingana na upepo
 
Kwahiyo amepatikana au bado, iweje utumie kauli ya minority kuhalalisha kinachoendelea
 
Mkuu hayo yote tuliyataka lakini sio Rais anayeteka kuuax kutesa na kufuja mali za wananchi, ktk quotes zako hili hata moja halimo, acga unafiki.

Wanasiasa bado tutawaamini tu wezi na wanafiki tutawatupilia kule.
 
Naona wanajifanya haoni ulichoandika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…